Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Jamani mi mgeni naombeni mnipokee
1 Reactions
36 Replies
2K Views
Waungwana habari zenu! Nimefurahishwa na kazi mnayofanya humu ya kuelimisha umma. Nami naomba kwa heshima na taadhima kujiunga nanyi.
0 Reactions
5 Replies
877 Views
jifunze kushukuru kwa Mungu na binadam wenzako, itakusaidia kujwekea hazina kwa baba ye2 aliye mbingun.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wadau najitambulisha kwenu,
0 Reactions
6 Replies
718 Views
kama kawa wanajamii ndani bila hodi
0 Reactions
6 Replies
977 Views
alaa kumbe hakuna cha kukaribishana hapa, ngoka niingie ndani mwenyewe nianze kurusha vitu hewani, mtanikoma
0 Reactions
5 Replies
846 Views
Nimebisha hodi hadi mime choka kumbe hakuna mtu? naondoka nitarudi baadaye
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Jamani e, Madame B Nina hamu ya kushambuliwa. Nipokeeni, Nileni nyama, Nakuja kama Mgeni aliezeeka jamvini.
1 Reactions
27 Replies
2K Views
Hodi hunu ndani jamani,mpo?Nimekuja kujumuika......
0 Reactions
8 Replies
554 Views
JF
Vipi mabeshte? Sote tuko hapa ili kuchangia pakubwa kwa Jamii Forums,basi twende kazi. (Kenya tuko imara)
0 Reactions
5 Replies
771 Views
Ndo nimeingia hivyo. Ninaomba ushirikiano wenu.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
jamani wanajamii wenzangu nawapenda sana2, pia nawaombea kwa MUNGU we2 mema yawafike ee MWENYENZI MUNGU u2pe amani
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Hi
Hodiiiiiiiii!
0 Reactions
7 Replies
869 Views
oi
oyoooooo
0 Reactions
6 Replies
691 Views
Salam kwa wana jf wote! Mi ni mgeni kama member ila nasoma sana thread za jf. Nimeona niwe member ili niwaze kusaidia hapa na pale kwa lengo la kujifunza! Naombeni mnipokee wadau! Hata mbuyu...
0 Reactions
7 Replies
993 Views
Hodi Hodi JF member
0 Reactions
4 Replies
690 Views
Nafurahi kujiunga na JF, I think itanielimisha ipasavyo, na mm ntashare what I know. Thanks to moderators. Tanzania Oyee.
0 Reactions
12 Replies
992 Views
JF
Vipi mabeshte? Sote tuko hapa iki kuchangia pakubwa kwa Jamii Forums,basi twende kazi.
0 Reactions
5 Replies
827 Views
MWana JF LeO naingiaaa..kwa mbaliiiii ukumbiniiii..mawimbi yananipeperusha...Bwana Yesu Kristo Asifiwe...Asalamm aleeeykum mabibi na mabwana...Tumsifu YESU KRISTO...MAMBOO...NI GANI?? MKO POA...
0 Reactions
9 Replies
992 Views
Back
Top Bottom