Salam kwa wana jf wote! Mi ni mgeni kama member ila nasoma sana thread za jf. Nimeona niwe member ili niwaze kusaidia hapa na pale kwa lengo la kujifunza! Naombeni mnipokee wadau! Hata mbuyu...
MWana JF LeO naingiaaa..kwa mbaliiiii ukumbiniiii..mawimbi yananipeperusha...Bwana Yesu Kristo Asifiwe...Asalamm aleeeykum mabibi na mabwana...Tumsifu YESU KRISTO...MAMBOO...NI GANI?? MKO POA...