jamani kwanz ningpenda kuwatak radh wakongwe wa jf kwa kuingia seblen bila kupga hod bcoz nimekuwa hapa karb cku ya 3 bila kujua kama kuna utartb kama huo ,pili ningependa mnikarbshe kwa mikono...
Hi!wana jf,mimi ndio kwanza naingia jamvini japo kuwa huwa napitia jf karibu kila siku,lakini sasa naingia rasmi.I like jf coz kuna vitu huwa vinjadiliwa jamvin ndio maana leo nami nikaamua kujitu...
Habarini wanajamii... I look forward to partaking in this forum and gaining from the wide spectrum of involvement here.
Voice is Knowledge and Expression is Intelligence. Jamii Juu!
Habari wana JF,mimi ni mgeni katika jamvi hili japo nimekuwa nikipita tu kwa nadra na sasa nimeingia rasmi!!kwa pamoja tuendeleze libeneke hili,together we can!!!
Habari wana ndugu.mimi ninaipenda sana jf ila ninasumbuka sana kujisajili.naomba mnisaidie tafadhali kwani nikishasajili jina then nikitoka na nikijaribu kuingia inakataa nifanyeje?
Wadau nimekuwa nikiifuatilia sana hii site toka kitambo nikiwa kama mtazamaji, lkn leo nimeona na mm niungane na ninyi ndugu zangu katka kuhabarishana. Naomba ushirikiano wenu wakuu.