Vijana kwa wazee hakuna bora.wote waongo wanasema" chakachua na mm nchakachuliwe bora nsimjue mwizi wangu.kwamba cku hizi tunashea mapenzi."mm siJui nimpende nan!
Ahlan Wasahlan mabibi na mabwana,
Mwanachama mpya nimeingia ulingoni, naomba mnikaribishe katika vilinge vyenu mbalimbali tuweze kujumuika pamoja.
Asanteni.
Mambo vipi waungwana jamii forum ni mtandao makini ulionishawishi na kunivutia kujiunga kwa lengo la kuleta ustawi wa maisha yangu naomba mnikaribishe ndani ya ulingo kwani kuku mgeni.........
Za hapa jamani? Nimesikia sifa zenu njema kwa ujenzi wa Taifa hili. Nimeamua kwa dhati kujiunga nanyi. Nimechoka kutetea uozo. Naombeni kiti nikae niwasimulie ya Serikalini mwenu. ANGALIZO...
Naomba kuanza mchango wangu kwenye JF kwaunukuu maneno haya: " UFISADI unaimaliza nchi yetu.Tunazungumza sana kuhusu ufisadi, tunaulaani sana lakini wakati huo huo tunajihusisha nao bila haya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.