Napenda kusema napendezwa sana na kazi inayofanywa CDM, bungeni na nje ya bunge kupitia mikutano na maandamano. Maandamano na mikutano hii pamoja na ujasiri wanaonesha wabunge wa Chadema bunguni...
Mpaligogo kazi yetu ni moja kusema ukweli mpaka kieleweke ni wapi hapo kwenye ukweli kwa uma. Je.ni jahazi radio au tv patakapo kuwa na mh zito filikunjombe nape.mkereketwa nasubiri
kwa mimi kujiunga jamii foram ninaimani kwamba mengi nitajifunza na nitapata upeo,pia nitaweza kuchangia hoja mbalimbali na vilevile kutuma hoja au matukio mbalimbali,jamii forum idumu zaidi na...
Pamoja sana wakuu, nimekuja rasmi kuwashika wanasiasa wabovu wenye utashi na matumbo yao. Baadaye ya leo nitaweka bango juu ya kichwa cha Hawa Nghumbi katika jukwaa la siasa.
Salamu kwako Hawa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.