Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Hope mtanipokea ndugu zangu!
0 Reactions
4 Replies
600 Views
Habari zenu wana jamvi, nimekuwa msomaji wa jf kwa takribani mwaka sasa, leo nimeamua nami niwe mshirika mwenzenu..., naomba ruksa yenu...
0 Reactions
6 Replies
709 Views
naja wadau.....pa1
0 Reactions
4 Replies
704 Views
hodi napiga, salaam kwa members wote, msisite kunikaribisha ni mimi mpochimola no.1
0 Reactions
7 Replies
975 Views
Mabibi na mabwana hodi hodi naingia, natokea mji mkongwe, unguja, mwakilishi wangu ni Jussa, mfikapo unguja karibuni forodhani tupate urojo na juisi ya muya
0 Reactions
7 Replies
802 Views
hello wakuu
0 Reactions
6 Replies
706 Views
habari wapendwa ndani ya jamii forum,natafuta mwenyeji ili nijue nn cha kufanya humu ndani ya greater thinkers.thanx
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Naomba kukaribishwa na mie.
0 Reactions
6 Replies
871 Views
Am pleased to join the forum. Please accept my views. Thanks.
0 Reactions
6 Replies
721 Views
Naahidi kuwa mwanachama mwema wa J.F Wale wote niliowakosea tusameheane, tunajenga nyumba moja hivyo tusigombane kwa sababu ya kugombea fito. - Regards [*****]
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Napiga hodi humu ndani kwa kusema, aombae upewa, abishae ufunguliwa
0 Reactions
7 Replies
753 Views
Wenzetu wa Dom, kipi kinaendelea Mjengoni kwa sasa?
0 Reactions
5 Replies
798 Views
Niaje wana JF am just introduce ma self as a new member, i need ur support thanks:ohwell:
0 Reactions
8 Replies
851 Views
Nimejiunga rasmi na JF.
0 Reactions
6 Replies
768 Views
Habari, wadau wote na wanaharakati wa jf. Napenda kujitambulisha kama mgeni mpenda mageuzi ya maendeleo tupo pa1.
0 Reactions
7 Replies
830 Views
Nimekua msomaji jf kwa muda mrefu lkn sikujitambulisha kwenu mi ni Isekuu tanga.
0 Reactions
8 Replies
718 Views
anne marie, female, employed, education: phd, health issues umri: 32yrs, politics-atendae haki kwa muda huo ndo nampa support ya kisiasa, relationship status- Kapuni!!!, faith: christian...
0 Reactions
19 Replies
918 Views
ha bari mimi ni mtanzania wa kawaida napeda kujumuika na wana jamii ili niweze kupata habari pamoja na mambo mbalimbali yanayolihusu taifa na biashara za kimataifa. karibuni wote ambao muna weza...
0 Reactions
5 Replies
861 Views
HODI JAMII FORUM JINA:-NGIDO DD >>Naomba kubadilishana mawazo katika tasnia hii ya TEKNOHAMA ambayo ndiyo kimbilio la dunia kwa ujumla wake. SWALI:- >>>>>>>Je ni watanzania/watanganyika wote...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kwanini hawataki kujiuzuru?
0 Reactions
8 Replies
806 Views
Back
Top Bottom