Nimekua nikisoma thread zenu nzuri na zenye mtazamo wa kujenga fikra pevu ndugu zangu wana jamii na nimekua na kiu ya kujiunga ili namii niwe mmoja wa wanajamii sasa kwa uwezo wa MUNGU...
Ninayo furaha kujumuika na watanzania wenzangu katika kufanya hii kazi ya kuelimisha jamii,shukrani ziwafikie wana jamii wenzangu kwa yale mnayoyafanya katika jamii forums.
nipe fursa waungwana, nisikie na kuhoji
tujadili vilivyonona, ya mijini na vijiji
kutafaari kwa kina, hoja tunazozihitaji
kwa busara na hekima, naomba fursa jamvini
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.