Shalom,na isiwe mwisho katika harakat hiz za kutafuta haki kwa masikini wote,kufuta dhuluma,unyanyasaji,uonevu,ukandamizaji,ubaguzi,ufisadi,rushwa,kutowajibika na usaliti kwa wananchi masikini na...
Hallo WanaJF,
Huyu ni member mupyaaaa! Anasema hodi hodi.
Nategemea kuwa mwanachama hai, mwadilifu, na asiye na matusi.
Natumai mtanipokea kwa ukarimu.
jamani naombeni munifundishe namna ya kuweka na picha yangu kwenye profile yangu kama nyinyi namaanisha zitokee details na picha yangu. Please kwa yeyote yule naomba anisaidie msinicheke sijui...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.