Naamini kwa kubadilishana mawazo kwetu kunania moja ya kujenga fikra chanya bila kujali jinsia, umri wala cheo. Let's be in a straight line together as one.
Nimeona nijikaribishe tu maana naona nachelewa naamini mtanipa usirikiano maana sijui chochote humu sijui kutag ndio nn tajifunza taratibu humu jf kuna mambo mengi sana hongera jf na member...