:poa Wapendwa wana Jamii, wakubwa shikamoni, wadogo mambo vipi? Nawapenda kisha nawafagilia wawaaaaaaaaa! Yes you deserve it men! kumbe mambo matamu yapo huku?! Naomba mnipokee ili tuweze...
Ni miaka 3 sasa kila siku ya Mungu huingia humu jamvini na kusoma mawazo yenu wadau.leo nimeamua nijisajili rasmi tena kwa jina langu kamili.ili nitakapo changia wananifahamu wapate ithibati ya...
Ndugu wa pendwa ya pita miaka miwili nime kuwa mfuasi wa hii site kwa kusoma post mbalimbali zenye mshiko kwa kweli mimi binafsi nime jifunza vita vingi sana na nime gundua ama kweli vijana wengi...
Awali ya yoye napenda nianze kwa salamu yetu aliyoiasisi BABA WA TAIFA hili kabla na baada ya mara baada uhuru
UHURU...................na kaziiii.
pili nichukue fursa hii kuushukuru uongozi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.