Mimi ni Mbunge na sasa nimeamua kuwa mwanachama wa jf kwa mark hii mnayoiona , nafikiri jambo la msingi leo ni salamu nakuwapongeza wote wanaoshiriki katika mijadala mbali Mbali . Nitatangaza jina...
Baada ya muda mrefu JamiiForums kuwa chanzo changu muhimu sana cha kupata habari muhimu na tofauti tofauti na kwa wakati muafaka hatimae leo nimeamua kujiunga rasmi hapa jamvini. Wakuu heshima...
Hello waungwaba na wafuaji wa mbongo, nimeamua kuingia katika kilinge hiki baada ya muda mrefu kuwa mfuatiliaji wa fora kama guest(mgeni). Nikasukumwa na ile dhana isemayo "Ukitaka Kujua Uhondo wa...
wakuu mwnenu nimejiunga leo baada ya kujivua gamba kule kwenye kitabu cha masura ya watu. naomba na mimi jamii mnipokee niwe mwenzenu. thanks in advance!
Kwa Muda Mrefu nimekuwa nikitumika kuua wale wote wenye mitizamo tofauti na Watawala wa Dunia. Nimeamua kuongoka naombeni Mniombee ili Badala ya Kutumika Kutoa Uhai wa Viumbo visivyo na Hatia basi...
Wakubwa,
uKITAKA kujua uhondo wa ngoma, ni uingie ucheze.
Nimependezwa sana na jukwaa lenu, naomba ukaribisho wenu!
Nilikuwa nasoma hoja zenu motomoto, leo nimeamua kujitosa moja kwa moja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.