Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Guys why not me?please welcome me in:lol:
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari zenu wenyeji? Naamini si vyema kuingia kwenye mji wa watu bila hodi na JF ni 'home' of Great Thinkers nami nimeona ni vyema kuingia kwa hodi. Japo si mgeni sana lakini wenyeji wangu...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
nimekua nikisoma na kufurahia na kujifunza mengi toka kwenu wana jf..kawaida mi ni mvivu sana kujiunga na mitandao ya jamii ila nyie mmenishawishi,big up n pamoja tulisongeshe...lunch njema hasa...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Nachokitafuta ntakipata?kisichopatikana kwingine hapa kitapatika?je utofauti ntaupata?twende pa1 2kacheki
0 Reactions
8 Replies
1K Views
waungwana naomba mnikaribishe hapa jamvini mimi ni msomaji wa jf wa muda mrefu sana sasa naomba to be together
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mmenipokea!
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Eti tangu nijihumu leo ndiyo naona h sehemu yakujitambuli
0 Reactions
12 Replies
974 Views
Asl alkm wote
0 Reactions
8 Replies
997 Views
Wadau wa JF, Hodi humu ndani!!!! Nimemalizia kuzisoma sheria za JF, naamini tutashirikana vizuri katika mijadala na hoja mbalimbali ndani ya JF. Ni mimi, IL Gambino.
0 Reactions
5 Replies
669 Views
Jaman nimekuja kuprovide funeral service kwa wana Jf na hasahasa Magamba. Cost zang zipo chini sana. Hope mtanipa ushirikiano wa kutosha.
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Muziki ni Maisha nauwakilisha. Wadau wa Muziki naomba mnipokee. :msela:
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Naomba kikombe cha kahawa maana natoka mbali mnoo. Lakini kabla ya yote kwanza ningependa kuuliza, vipi twaruhusiwa kupita na viatu humu?
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Nina kama wiki 2 hv ndan ya jf.Naona fahari kuwa member coz najifunza mengi' holla
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Wanajamii nadhani mko tayari kunikumbatia kama ishara ya kunipokea, natanguliza shukurani...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
A lot of greetings to you all
0 Reactions
9 Replies
852 Views
ni muda mrefu nafuatilia hoja za member wa jf ,nimeshawishika sana kwani ni za kujenga watu kifikra na namna mbalimbali katika jamii. Therefore i humbly asking for a membership in ideas and...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Wajameni nimekua mgeni kwa muda mrefu tuu, sasa naomba kuingia chumbani!
0 Reactions
8 Replies
1K Views
hi
pamoja tutaweza
0 Reactions
6 Replies
835 Views
waungwana mwambaje hapa
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari zenu wajamii Mie mgeni naomba kukaribishwa. Asanteni
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Back
Top Bottom