Mambo zenu wanadu,nimekuwa nikichungulia tu nakuonja utamu wa humu kama msomaji,sasa nimeamua kujiunga na kupata Utamu Extra wa humu,naomba kukaribishwa.
Nimeingia rasmi kwenye jf na natarajia kuchangia mengi na kupata mengi kwenye hii forum. Ngoja nioge halafu nivae nguo fasta kabla ma-cameroon hayajaninyatia...
poleni na majukumu mabibi na mabwana napiga hodi katika jamvin hii rasmi baada ya kufatilia michango ya wanajamii kwa muda mrefu nimeamua kujiunga rasmi naomba ushirikiano wenu.ASANTENI
Wana-JF, nilidhani Mkuu wa kaya angetupatia kitu cha maana sana watz kama vile kuelezea kwa kinaganaga juhudi zilizokwisha fanyika, kitu ambacho kingebakia kama 'Legacy' yake wakati wa kutoa...
Wanachama mpooooo! mimi ni mwanachama mpya wa ukumbi huu wa kipekee.Ni malenga chipukizi, mpenzi mkubwa wa kiswahili na bado mwanafunzi wa chuo kikuu cha Kenyatta. NAOMBA MNIPOKEE.AHSANTENI SANA.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.