Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Ni muda mrefu sasa nimekuwa nikiifuatilia jf,sasa nimejiunga rasmi wakubwa naomba mnipokee
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Nimefanikiwa kujiunga jamaniii nikaribisheniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
0 Reactions
16 Replies
1K Views
najitambulisha kwenu wana jamvi wenzangu!
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Wana-JF NAWASALIMU sana, Ni mara ya kwanza kuwepo hapa ingawa ni mwana-JF wa muda. Nawapongeza kwa hoja na mafunzo mnayoyatoa na kuchangia hapa. Tupo pamoja!
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Najisikuwa furaha kuwa nanyi wazalendo wa nchi hii. Tuko pamoja!
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Nawasabahi great thinkers.
0 Reactions
9 Replies
1K Views
jamani hodi humu ndani
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Nilikuwa napitapita kwenye mambo ya mtandao,nikakutana na ki2 moja matata sana isitoshe cha kihome home,ukitaka everything unapata nikaona bora ni jiunge,ila kwanza ni wape hi wana na wakubwa...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Just arrived!!
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Hello TZ, E.A, And the rest of the world!! I'm now an active member of this forum, so welcome me my people. I'm on!
0 Reactions
7 Replies
936 Views
Nabisha hodi kwenu jamvini wana JF. Baada ya kujifunza sana kwa kuibia, nimeona nijitose miongoni mwenu wajameni nami nisikike
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Napenda kuwasalimu katika yeye anitiae nguvu..... Tutakuwa pamoja katika kutoa maoni, burudani na ushauri kwa hii jamii blog, tuache ubinafsi lete hoja na maoni humu tuzungumze... asanteni kwa...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Hodi ndugu zanguni wa JF, nimekuwa nikisoma sana topics mbali mbali na sasa nimejikuta na register ili nami nichangie mawazo yangu.
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Kwa mara ya kwanza nimeamua kulog in kwenye forum hii baada ya kusikia utamu uliomo humu ndani. Naamini nitapokelewa kwa mikono miwili na wenyeji wangu humu ndani.
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Jamani mimi ni mgeni hapa. Naomba kukaribia katika Forum hii ya jamii forums
0 Reactions
21 Replies
2K Views
hodi wenyewe mtamanyali hapa naongea!!!!
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Mi ni mgeni hapa jf NAWAOMBA MNIPOKEE na nimekuja na lundo la visa vya mama mkwe wangu, JAMANI NIPENI USHAURI jins ya kuweza kumhandle.
0 Reactions
16 Replies
4K Views
hodi jamvini, naomba ushirikiano wenu na kunionyesha njia pale nitakapopote
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Japo nipo kitambo lakini niliingia bila kubisha hodi sasa leo narudia hoooodiiiii
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Salaam wana jf! Nipokeeni, Nimekuja kujumuika ktk kutoa hoja/michango yenye tija.
0 Reactions
8 Replies
964 Views
Back
Top Bottom