tupo pamoja ila tu ubize nashindwa kiasi kwamba nilishindwa kuchangia chochote ila niseme tu michango yenu michache ya maoni imefaa wengi akiwepo mimi asanteni sana. Kamvua kanakoendelea hapo nje...
Habari ndg zanguni!
Mimi ni ndg yenu, ndio kwanza nimejiunga na wanajamvi baada ya kuwa msomaji tu cku zote, nawaomba mnipokee na kuniongoza pindi mtakapoona nimepotoka, hakuna aliyekamilika...
Ndugu wanaJf, kwa muda mrefu nimekuwa nikisoma mada mbalimbali, lkn kuna lililonikwaza hadi nikaingia mazima.
Kama wiki mbili hivi zilizopita, Chama cha Mapinduzi kilifanya mikutano yake Dodoma...
Habarini waungwana natumai ni wazima kwa wale wagonjwa Mungu awape nguvu na afya nzuri mapema ili tuendelee kusongesha hili gurudumu la maisha, naomba niwe mmoja wa familia yenu wapendwa, kama...
Wana jf wote nawasalimu kwa upendo. Baada ya kuwa msomaji wa threads za jf, nimenogewa, sasa na mie baada ya kujua utamu wa ngoma nimeamua nicheze! Nipokeeni waungwana!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.