Nawasalimu kwa jina la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. Itifaki imezingatiwa. Jina langu ni Festiledi, kwa mara ya kwanza nimeamua kwa utashi wangu mwenyewe kua mwanachama kindakindaki wa Jamii...
Habari wadau wa jamii forums leo nimejiunga rasmi naomba mnipoke
Nafanya kazi za graphics design, natengeneza computer laptop natengeneza logo, calender, poster za mitandaoni, busines card, card...