Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Honestly i love jf that's why nimeshindwa kuvumilia hadi ban iishe. NAOMBENI MNIPOKEE TENA. Wenu mtiifu A.M
1 Reactions
16 Replies
1K Views
nimejiingiza humu ili tushiriki katika yale yote mazuri kwa jamii yetu
0 Reactions
7 Replies
1K Views
helo helo.asanteni kwa makaribisho yenyu wanajamii
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Nawasalimia wanaharakati wote na wote wenye nia ya kweli ya mabadiliko nchini mwetu Tanzania kwa kufichua yale yote ambayo hayanamaslahi kwa watanzania wote.
0 Reactions
5 Replies
944 Views
Amani juu yenu, Mimi ni mpya katika wana JF, naomba munipokee kwa mikono yenu kwa leo sina mengi ila kuwajuilisha mwanachama mpya nimeingia jamvini.
0 Reactions
14 Replies
1K Views
shikamo kwa wakubwa mambo kwa vijan na kwa watoto.....(sijuwi wapo?) naombeni munikaribishe,hope nitatoa mawazo yangu mazuri kwa jamii yetu
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Jamani nimekuja na mimi naombeni ujamaa kila penye msaada kuitajika mnisaidie..... Assalaam alaykum
0 Reactions
4 Replies
954 Views
Nimevutiwa na habari za jf hatimae namimi nimeona mwaka nimalize mwaka kwa kujiunga .....nipokeeni japo nipo uku migombani mtandao wa tabu
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari zenyu wote. Furaha yangu nikuwa nanyie wana JF.
0 Reactions
16 Replies
1K Views
hello niaje jaman poleni na shughuli ............
0 Reactions
4 Replies
759 Views
Ndg yenu ndo nimeingia bado mgeni japo co kivile
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Respect to all ladies and gents, looking forward to being part of the great thinkers forum! Sincerely yours, Mindei.:eyebrows:
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mimi ni mgen nimeamua kuingia jamvin ili niwe member kwasababu jf ndo mpango mzima,yan inaelimisha na kuburudisha,jaman naombeni mnipokee.
0 Reactions
4 Replies
914 Views
Hello Great Thinkers, from Kimberley! just in the circus.....
0 Reactions
9 Replies
990 Views
hi
habar zenu
0 Reactions
9 Replies
891 Views
Hodi hodi wanajamvi.... naomba mnipokee kwa mikono na miguu tafadhali!!!! :A S 465:
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Habar zenu bana, m new here..tuko pamoja..
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Mambo waungwana,natumaini mko poa,mi ni mgeni kwenye jf si mzoefu so japo sheria nimezisoma bado nahitaji msaada wenu pale ninapo kosea..
0 Reactions
9 Replies
1K Views
nimevutiwa sana na jf kwa kufuatilia kwa karbu...
0 Reactions
7 Replies
768 Views
Back
Top Bottom