Name is Yuna, Born in Tanzania,
Originally Arabian who carry Tanzanian Flag as a symbol of love!
Enjoying blogs, debates and Tanzania news!
Mungu ibariki Tanzania, Mungu tubariki wa Tanzania...
Nimevutiwa sana na jinsi wana JF mnavyo share uzoefu ktk mambo mbalimbali na hasa ktk mambo ya kizalendo yanayahusu mustakabali wa Nchi yetu.Nimetamani pia kuwa mmoja wenu n i hope...
Salamu za kwetu.mpo wanaJamii? Mi ni mtu 'mpya' kwa uwanja huu.naomba tushirikiane kwani nimeona mna vitu nzuri.nimevutwa nazo,naamini mtapata ma busara yangu pia.ASANTE Najua mpo ange nami.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.