Kwa wale waliosoma Jitegemee Sec School (chini ya uongozi wa Massawe) enzi hizo za kutokea kuanzishwa kwake mpaka sasa watakuwa na mengi ya kuzungumza.
Kwa kuanzia kuna walimu Walikuwa wanasifa...
Nilikuwa nawasikia mashoga zangu wakisimulia habari za humu jf, na mie nimejikuta tu nikitamani kujiunga hasa baada ya kusoma hoja mbalimbali ambazo kwa kweli zimenielimisha kukua...
Habari zenu! Mimi ndugu yenu kutoka Zanzibar University..... Naomba mnipokee ktk jukwaa, kwa muda sasa nimekuwa msomaji mzuri wa posts zenu na nimekuwa najifunza mengi, and still I'm to learm more...
Hi all,
Salaam wanajamiiforums
Naomba kujitambulisha kwenu mimi ni member mupyaaaa hapa foramuni.
hope mtanikaribisha, nitakapokosea mtanielekeza!!!!!!!!!
Wakatabahu
Mr. Alex
Hii nchi usanii umzidi sana kwa Viongozi wetu wa nchi yaaani toka hili neno 'CHANGAMOTO' Litambuliwe vinywani mwa wakuu wetu basi matatizo yote na kero zote ni 'cHANGAMOTO
yani sisi kikwetu ukikuta jamvini watu wanakamua bhana, we unazama zako kimyakimya tu na kuendeleza makamuzi, habari za huko ulikotokea ni mpaka wao wenyeji ndo waanze kwanza kukuuliza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.