Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Twa mbombo mliwakafu itolo mma myee
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Nawasalimu wana jf members wote. Kwa sasa nipo nanyi ktk yote. Naomba mnipe ushirikiano wenu. Congrats 4 being jf member mwezangu
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Hodi Hodi wanaJF Wote wazima wa afya Mchango yenu imekuwa ya Tija kwa taifa la Tanzania kwa sisi tuesomayo tukiwa guest na sasa najiunga rasmi Mungu ibariki Afrika Wabariki viongozi wake...
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Mgeni mwenyeji nina dukuduku
0 Reactions
9 Replies
1K Views
hodi hodi waungwana,ni mie msauzi wa bongo ndani ya janvi,naomba mnipokee!,kwani kuku mgeni hakosi kamba mguuni!
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Hi
Jamani naomba mnisaie kwa hili, nilipewa kiwanja na ofisi ya ardhi baada ya mmiliki wa kwanza kunyang'anywa sasa baadae ofisi hiyo hiyo inataka kuninyang'anya kwa kisingizio kuwa haijawahi...
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Kwamda mrefu nimekuwa mshiriki katika jukwa hili kama mpita njia lakini sasa nimeamua kuingia rasmi katika ulingo huu kama mjumbe katika uwanja huu wa magreat thinkers niweze kuchangia na kutoa...
0 Reactions
18 Replies
1K Views
Hodi jamani..... Nimekuwa nikifuatilia mijadala na mada mbalimbali kwa muda mrefu sasa. Nikaona na mimi nikae kabisa jamvini ili kuendelea kujifunza zaidi na kuchangia pale ninapoweza! Thanx all...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Jaman mi ndo kwanza mchanga nawaombeni kwa heshima wenye ulimwengu huu jf mnikaribisheeee!!
0 Reactions
7 Replies
661 Views
jaman naombeni ushirikiano wenu ni mgeni ilaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa............................
0 Reactions
16 Replies
1K Views
naomba mnipokee jaman wenye jukwaa lenu.
0 Reactions
17 Replies
1K Views
am comin to share something plse upgrade me if possible hate gossiple don't dat
0 Reactions
18 Replies
1K Views
Hallooo! Ndo awali najitambulisha jukwaan. Salam kwa wana-JF
0 Reactions
14 Replies
925 Views
naomba mnikalibeshe pleas
0 Reactions
11 Replies
1K Views
HI
HI wanajamii!!!!
0 Reactions
6 Replies
765 Views
Habar zenu wana jamvi wenzangu,nikaribishen mwenzenu mwana jf humu jamvini
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Mimi ni mwanachama mpya naomba ushirikiano wenu!
0 Reactions
33 Replies
2K Views
Wadau msish2shwe na title bt I just wanna say hi u ol na naomba mnipokee ndo nmetia maguu ivo.
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Nimatumaini yangu kwamba jf hakuna wababaishaji kama fb coz mnajiita great thinkers.kwa kipindi hichi ninachongoja matokea nina imani kuwa mtaona ni namna gani kichwa changu kimefanya kazi kwa...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Back
Top Bottom