Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
ndo nimeingia tuu leo humu mjini kwa wanajamii, nimevutiwa na watu wanavyochangia mambo ya kila cku yahusuyo matukio na maisha ya watu katika saisa , burudani , uchumi, michezo , maendeleo na...
1 Reactions
14 Replies
935 Views
looking forward for the best forum now and coming years bila kuwira mtu wa sura.....
0 Reactions
8 Replies
969 Views
Jamani habari za leo na poleni kwa majukumu naomba mnipokee kunyumba. Nawasilisha
0 Reactions
10 Replies
769 Views
Waungwana, mimi nachangiaga topic tu na nilikuwa sijajua namna ya kupost topic yoyote! ila leo nimebahatisha, sasa wanandugu naomba mnielekeze namna ya ku-attach picha, yaani hapa ndo ishu kwangu...
2 Reactions
27 Replies
2K Views
habar zen bhana wana JF,wakubwa shkamoon,wadogo marahaba na wale rika moja aisee ni nini?...this z my first post just for making intro,am xo xo happy to be a member in the house of great...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wanajamii, Mie najiita Dia Gnosis. Mwanadada. Niashi kaskazini ya Dunia. Nimezaliwa na kukulia na kusoma Dar´Salaam toka chekechea hadi shahada ya kwanza kabla ya kuja huku Kaskazini. Asanteni
0 Reactions
27 Replies
7K Views
Nipokeeni kama ndugu yenu jaman.
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Wana Jamii Forum Nami nimetinga ndani ya jahazi hili la Jamii, twende pamoja.
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Jamani,mimi ni kuku mgeni humu jf,naombeni tushirikiane vyema..mmbarikiwe sana.
0 Reactions
21 Replies
2K Views
hodi wakuu
0 Reactions
9 Replies
942 Views
ngo ngo ngo wana JF would u open the door for me..! i just want to enter onto...........!
0 Reactions
8 Replies
936 Views
Hodi hodi humu nipokeeni
0 Reactions
19 Replies
1K Views
Can you hear me?
0 Reactions
20 Replies
1K Views
Hope wote mpo poa!!mimi nimgeni humu nipokeeni!!
0 Reactions
6 Replies
830 Views
Wanajamii naomba ushirikiano wenu.
0 Reactions
5 Replies
754 Views
nimekuja naombeni ushirikiano wenu nimepakubali
0 Reactions
8 Replies
842 Views
Hodi hodi wanajamii naingia tena kwa kishindo! aagh mbona hamnikaribishi? mnaminya tu . lkn ndo nimeingia
0 Reactions
4 Replies
754 Views
Changed from tabutupu to afrotupu
0 Reactions
7 Replies
648 Views
heri kwenu wandugu, mods, mamemba na msio mamemba. nimelazimika kujiunga jf, kwa vile so far sijasikia tamko kuwa jf ina wenyewe. natania tu jamani, naombeni ukaribisho wenu!
0 Reactions
19 Replies
1K Views
Mambo vipi? Mimi najiita Vome, kijana mwanamume wa kitanzania, napenda kujiunga kwenye jamii yenu ili kubadilishana mawazo na kuelimishana. Nashukuru sana
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Back
Top Bottom