yo yo yo yo...
Me ndo bandika bandua...
Nakufunka ksha nakufunua..
Ukleta ujinga ujinga nakuzngua..
Nmekuja kuchat na uhakika nmefka...
Naomba mnpokee nyie ma great thinkerz..
Wadau naomba mnipokee mwenzenu humu jamvini kwani naipenda sana jamii forum. Naomba mniwie radhi na mnirekebishe pale nitakapokuwa nakosea kuchangia mada hasa kutokana na ugeni wangu.
Naomba...
Assalaam aleykum wanajamii!
Ndugu yenu ATA nimekaribia ndani ya nyumba baada ya kuingia kama mgeni kwa muda mrefu. I salute all jamii forum stake holders ( founders and members) for your...
muhali gani members,its ma first time kuonekana hapa,kimsingi am very interested with how members shares mambo, i appriciate it.keep it up for Tanzania sake
Member mpya ndani jf,am self entrepreneur jf member naomba support yenu kama wanaukoo wa jamii forum
Am system developer at jigambe technologies co ltd and i run these online technologies system...
habari wanajf nimekuwa mfuatiliaji wa jukwaa hili kwa muda mrefu sasa wakati umefika na mimi nimeona nipate kuchangia badala ya kusoma mawazo wa wenzangu
naomba nitakapokosea munirekebishe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.