Habarn wana jf....
N Mda Sasa Tangu Nmeanza Kusoma Thread Mbalimbali Humu Ndani Na Nmejfunza Mengi Leo Nmeamua Nijitokeze Kabisa Yaaan.....
#plutorepublic
Habari ndugu na jamaa katika Platform hii ya JamiiForums nafurahi kuwa sehemu ya Jamii hii kubwa. Nina miaka 23 ni mwanafunzi wa sayansi ya Afya mazingira.
Natumai tutashirikiana kikamilifu.
Katika pitapita zangu rafiki yangu amenionyesha mtandao wa JamiiForums.
Nimeupenda sana kwa taarifa zenu ambazo ni up to date.
Nimejiunga nanyi leo natokea Gaborone Botswana Kl 350 to...
Kama ilivyo mimi ni mgeni mwenyezi humu ndani.
Kama ilivyo kawaida yangu kila nikibadisha cheo hapo JF hua nakuja kujitambua tena.
Hivyo nilichelewa kujitambulisha ila JF mwenzangu kaniambia...
Habari zenu wananzengo, mimini mgeni hapa kijijini JF. Naomba kupokelewa nanyi wakuu. Napenda mijadala ya Siasa, mambo ya kidini pamoja na michezo. Mimi ni shabiki wa Chelsea fc.
Naomba kuwasilisha.
Nihitaji kuwa mwanachama wa JF tatizo linapo kuja namna ya kuchangia mada za watu au kutoa maoni kwangu inakuwa shida sehemu ya kuandia sipaoni wenyeji msaada wenu
Mie ni mgeni hapa jamvini nikikosea sitajisikia vibaya kulekebishwa na kupewa maelekezo katika kuchangia hoja mitazamo na maoni mbali mbali, nimalize kwa kuwasalimu wote kila mwana jamvi kwa lugha...