Karibuni nyote hapa JF. Nyumba ya hekima haina mgeni wala mwenyeji, kazi ni moja tu hapa. Chota hekima yako tembea mbele. Wapo baadhi humu wana akili fyatu, na hao hawalosekani katika jamii. Hao...
Karibu.
Je, wewe ni mpya hapa JF? na kuna changamoto gani unakutana nazo ukiwa mtumiaji mpya wa JF, eleza na utapata majibu kwa wabobezi wa kutumia JF.
Naitwa SOSPETER JOHN MTATIRO NYAKIHA ni kijana mwenye umri wa miaka 22 naishi TABORA mjini ni mjasiliamali nafanya biashara ndogo ndogo nimefurahi kuungana nanyi wana jamii forum kama kuna mwana...
BWANA ASIFIWE ............. !
Najitambulisha kwenu wana JamiiForums kwamba ni mgeni wenu.
Natarajia mapokezi na ushirikiano kama mwanajamii mzee lakini kijana katika jukwaa !
Mimi nina mke mmoja...
Mungu ni mwema leo rasmi nimekuwa mmoja wa familia kubwa ya Jamii forum.. Nimevutiwa na Mada na fursa mbalimbali ndani ya jukwaa huru.. Hongereni sana watangulizi mchango wenu...
Jina langu naitwa Mr Remy Modest nimevutiwa sana na mijadala ya kina inayofanyika jamii forums, hvyo nimeamua kujiunga na na majukwaa haya yenye kujenga na kuelimsha, naomba mnipokee wadau.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.