Mimi ni mgeni kaktika platform hii lakn nimeanza kuitumia mda kidog kupitia Google..Jamii forums nashukur sana mmebadilisha maisha yangu na mitazamo yangu mbali mbali..
Naomba mnikaribisheee kwa...
Good morning ladies and gentlemen.
Ladies and gentlemen, it is my hope that y'all doing great despite of some challenges we are going through. However, this should not make you feel down, Take a...
Nimetumia jf kwa miaka sita sasa ila nilikua nikisoma habari za watu na kujifunza vitu vipya zaidi imenikuza kiakili. Leo nimejiunga rasmi nafurahi kuwa huku.
Habari zenu wapendwa natumai nyote wazima wa Afya.
Mimi ni new member katika platform hii naombeni ushirikino wenu .Pia nayo furaha kubwa ndani yangu kujinga na JF. Naamini hiki ni kisima cha...
Habari ndugu zangu wa JF
Leo nimeamua kujiunga rasmi Jamii Forums baada ya kuwa msomaji kwa muda mrefu. Naamini hapa nipo sehemu sahihi kwasababu JF imekuwa kisima cha maarifa kwa muda mrefu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.