Napenda kuwafahamisha kwamba leo nimejiunga rasmi na JamiiForums baada ya kuwa muumini wa kusoma na kufuatilia nyuzi humu hasa za siasa kwa muda mrefu sasa. Naomba mnipokee. Naamini mmekubali...
Naitwa Emmanuel, nimekua nikifwatilia habari nyingi na Mambo kedekede kutoka JF... Nikijaribu ku-chek thread nyingi hasa kuhusu biashara naona nmechelewa Sana, tuko pamoja sana
Kwanza niwashukuru waungwana wote waliopo na walio-anzisha ‘Platform’ hii ya JF.
Nimekuwa nikikaa ndani mwenyewe baada ya mambo yangu kuyumba sana hususani ‘Financially’ na huku nikikosa mtu wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.