Mambo zenu ..kwa jina naitwa Angelina naweza sema sio mzoefu Sana na mazingira ya humu
..lakini nilichofurahi nimekuta positive people ambao unaweza omba ushauri na wakakushauri vizur tu ...
Ofsa kama ofsa leo nimekuwa mwanachama miongoni mwenu hivyo basi ndugu wajumbe wa idara zote humu mnielekeze namna bora ya kuishi kwa kheri humu.
Lengo kubwa ni kujifunza, kuelimika na...
Mimi mgeni hapa nataka kukaribishwa nimevutiwa sana na ukurasa huu na nimeamua kua member wa JF kwa lengo la kujifunza na kupata ushauri mbalimbali katika jukwaa hili.
Naomba kukaribishwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.