Habarini wanandugu katika JF.
Mimi nimejiunga hum toka 2017 huko ila skua napata muda wa kuchangia sana sababu ya mambo na namna namna za hapa na pale mpaka nilipoamua kupakua app kwenye sim...
Mambo vipi! Naitwa Baredo,ni Mtanzania kwa kuzaliwa,kitaaluma ni Mhandisi Mitambo (Mechanical Engineer),umri wangu ni 30+ bado sijaoa.
Natumaini nitapata ushirikiano wenu ili niendelee kujifunza...
Habar Wana jf
Mimi n mgeni hapa jf,
Nahitaji ukaribisho wenu na guideline miiko ya wakuu humu, jf...
Maelekezo jinsi ya kuchangia hoja kuepuka kuzozana na kubehave pia ni vizur kwa wenye...
Hodi hodi wakurugenz ndyg zangu nawakubali san humu ndan amjawai yumba mna akil san yan nyie mpak mke nilie mweka ndan nimempatia humu ndani wew ana akil nying sana
Salim Shaban Mmbago
ni mara yangu ya kwanza kutumia jamiiforums naomba ushirikiano katika nyanja tofaut tofaut mimi ni bado kijana mdogo nahitaji kuwa ni mwenye kujiexpose kwa watu kwa njia ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.