Habari za mida hii wana jukwaa,
Mimi ni mgeni wenu, Baada ya kukaa muda mrefu kama mchunguliaji tu hapa jukwaani; leo nimechukua hatua moja zaidi na kuamua kujiunga na kuwa sehemu ya wanachama wa...
Ndugu habari zenu mie naitwa Ukuta wa dhahabu ni mgeni hapa katika jamii forums naomba kukaribishwa na wenyeji wa hapa jf pia kunipa ushirikiano na muongozo wa kutumia mtandao huu wa jamii asanten
For long time nimekuwa nikitembelea jf na kusoma baadhi ya post na but kwa sasa nimeamua kukaribia ndani ili nam niweze kuwa miongoni mwa wanao husika kulizungusha gurudumu la jf. Ushirikiano wenu...
Natumaini mko poa wanajamvini wenzangu
Nimekuwa mhudhuriaji mkuu wa jf hasa jukwaa la entertainment ,jokes na mengne hivyo napiga hodii kama new
member....
For years nimekuwa natembelea Jf kama guest,ila leo rasmi naomba kupokelewa kama mwanafamilia.hopefully nitapata ushirikiano
God bless you
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.