Naomba nianze kwa kuwapongeza wana JF kwa kazi kubwa na nzuri ya kuhabarisha na kufundisha mambo mbalimbali yanayo gusa jamii
Pia nikiri kwamba nimekuwa mnufaika wa taarifa na masuala mbalimbali...
Ninayo furaha kua humu jf
Naomba tupeane ushirikano katka maswala mbali mbali
Changamoto,elimu,experince katka mambo tofaut tofauti.
Shukran kwenu
Sent using Jamii Forums mobile app
Wadau napenda kusema hodi hapa jamvini, mimi ni mmgeni wenu, lakini si mgeni wa jamvi la jamii forum, nilikuwa napata yote ya jamvini kwa kupitia njia nyingine.
Kwa maana kusoma kwa kubrowse...
Wadau wenzangu labda nyie mnaweza kua Na majibu ambayo nimeyatafuta kwa muda mrefu sasa maana yapata muda wa miaka miwil
Nimekua nikisumbuliwa Na kitu kinacho itwa jipu ( naamini nimeeleweka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.