WanaJamii wenzangu habarini za humu ndani..
Nafurahi kuwa humu na nategemea kujifunza mengi sana humu...
Nipokeeni na msichoke kwa maswali mengi nitakayouliza ili kufahamu...
Ahsanteni sana
Habarini wakuu,
Nina imani kila mmoja anafata taratibu zilizowekwa na wizara ya afya ili kujikinga na gonjwa LA corona.
Leo nimeona ni vizuri kufungua account baada ya kuitumia(jf)bila ya...
Ni member mpya hapa jf naamini tutashirikiana kujuzana mengi na kufundishana nitakuwa naleta makala mbalimbali za michezo na nmeshaandika moja kuhusu Ronaldinho Gaucho chukua muda wako kuisoma...
Kijana amka ni kikundi ambacho kina toa elimu kwa vijana kuwa na mtazamo chanya, kujiajiri, na kujikwamua kiuchumi. Kijana amka tunapatikana mkoa wa mwanza kata ya mkuyuni. Lengo letu ni...
Hodi wadau wa JF mi ni C.E.O wa kijana amka naitaji ushirikiano wenu project yetu bado nk changa tunaitaji wadhamini nitafurahi sana nikipata mdhamini umu kundini tatizo langu nikipost si pati...
Kwa jina naitwa elsafi kidoto new member to jamiiforum,Mwanafunzi wa utabibu na mjasiriamali pia,karibuni sana SONGEA.
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari zenu wakuu
Baada ya kuwa msomaji wa thread za Jf kwa muda mrefu hatimae nimekuwa member rasmi, naomba mnipokee wakuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Wadau, mimi ni kijana wenu nimejiunga Jukwaani tusongeshe gurudum la maisha kwa kujadilia mambo tofauti kulingana na maisha,
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.