Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Hello Sent using Jamii Forums mobile app
3 Reactions
9 Replies
580 Views
Habari zenu wadau wa JF. Nakuja mbele zenu kama mwanachama mpya kabisa katika platform hii nzuri kabisa. Naomba mnipokee na kunipitisha katika corridor zenu za hapa nyumbani JF. Sent using...
0 Reactions
5 Replies
604 Views
Hivi inachukua muda gani moderator kuapprove account yako? Ahsanteni kwa kujumuika nanyi kwenye jamvi hili la maarifa Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
659 Views
call me 0764 379 499 whasup Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
103 Replies
7K Views
Mimi ni mgeni, naomba kampani 0653985819 Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
4 Replies
466 Views
Nimejifunza mengi sana kupitia wana Jf Natumai tutaendelea kujifunza pa1 Ahsante!!
1 Reactions
5 Replies
612 Views
Ni member humu zaidi ya miaka 3 lkn nilikuwa msomaji tu pasipo kuchangia lolote nmeamua nami nijiunge na jamii hii huru ili nami niweze kuchangia kile nilichonacho. Asante sana Sent using Jamii...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu ,Natumaini wote ni wazima ... Nafarijika kuingia katika forum hii, Tuendelee kupeana support kupitia mada mbali mbali zinazotupa elimu,burudani na faida mbali mbali One love
5 Reactions
19 Replies
1K Views
Mimi naitwa Johari msabila nimefurahi kuwa moja went katika JamiiForums
3 Reactions
18 Replies
1K Views
Mimi niwashukuru JF wote kwa kunikubali Kujiunga na jamii hii yenye uwelewa mpana najua wazi ni mengi nitajifunza Hivyo naomba niwashukuru mno Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
7 Replies
862 Views
Hallow Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
506 Views
Habari wanaJF, Mimi nilikuwa msomaji muda mrefu lakini sikuwa nimejiunga lakini sasa nimeamua kujiunga naomba mnikaribishe Sent using Jamii Forums mobile app
2 Reactions
29 Replies
2K Views
Hodi hodi wana GT
2 Reactions
5 Replies
645 Views
Wenyewe mpoo? Hodi mpaka ndani,wanajamii,Invisible naomba hifadhi tafadhari.
1 Reactions
10 Replies
3K Views
MwanaJF mpya. Naombeni ukaribisho wenu kwa moyo mkunjufu. Naamini tutafundishana, kuelimishana, kuburudishana na kuonyana kwani JF ni kisima cha maarifa. Heshima kwenu. Sent using Jamii Forums...
1 Reactions
6 Replies
694 Views
balaa zito hapa kati.... # hi kama zote kwako...
0 Reactions
6 Replies
579 Views
Hello ladies and gentlemen! How are you? I'm a new member. I need your cooperation.
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Daah nipo kitambo JF ila sijawahi kujitambulisha,, Tena uku ndo sipitagi kabisa leo imetokea tu ,, nikaliona jukwaa la utambulisho . Si vibaya naomba ushirikiano uendelee! Maana mshanipokea tyr...
1 Reactions
2 Replies
426 Views
Ni Mgeni humu lakin pia ni fundi mtaalam wa Urembo wa Nyumba na Rangi ....Nipo Dar es salaam ila popote nakufikia kwa ajili ya kubadilisha muonekano wa nyumba yako....Make sure unachukua namba hii...
1 Reactions
5 Replies
792 Views
Naomba ukaribisho tafadhali Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
483 Views
Back
Top Bottom