Nimekuwa msomaji wa muda mrefu sana wa mtandao jamii huu,na nimefurahishwa na kurasa zake, hivyo leo naomba kupokelewa kwani ndio nimejiunga leo japokuwa mimi ni miongoni mwa wafuatiliaji wakubwa...
Nilisahau kujitambulisha lakini mimi nimeathiliwa na hawa mafisadi kwa muda mrefu na sasa ama zangu ama zao nimekuja kudai haki yangu na kuelimisha umma
naitwa Nchimbi Ausi ni mwanafunzi wa chuo kikuu kimoja hpa Tanzania. ni miongoni mwa watu wachache sana waliotokea kuipenda taaluma ya ualimu. Huwa napenda sana kujadili masuala mbalimbali ya...
I am a new member to this site or rather jf,so i wiil request all the essential assistance.i might rather be interested in science topics especially so in human and veterinary medicine.politics...
Wana jf nawasalimu. Mimi ni mgeni,naomba mnipokee,hakika hapa ni mahali pa zuri napakubali sana.nilikuwa naingia kama mgeni ila nikaona chabo sio nzuri.!!!!!! Keep it up...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.