Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
japo ni mgeni lakini sina kamba mguuni,hv kila mtanzania lazima afike dar es salaam'
0 Reactions
8 Replies
1K Views
wakuu hamjambo?. Nafurahi kujiunga nanyi. Natarajia kuwa mshiriki makini. Asanteni.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
naitwa reuben makene najitamulisha kwenu wana jamii forum kuwa nami ni miongoni mwa wanachama wapya wa jamii forum. naomba ushirikiano wenu asanteni sana
0 Reactions
4 Replies
810 Views
Jamani nisaidieni nipate sehemu ya kufanyia field mwezi wa 7 mwaka huu.field yangu ni wiki sita,kwan sehemu niliyopata ni mbali sana,huko halmashaur ya serengeti. Niko udom nasoma project...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Jamani nisaidieni nipate sehemu ya kufanyia field mwezi wa 7 mwaka huu.field yangu ni wiki sita,kwan sehemu niliyopata ni mbali sana,huko halmashaur ya serengeti. Niko udom nasoma project...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Jambo wana jf mimi ISO.Ni mda mrefu sana nilikua natamani kua mwana jf.sasa nimefanikiwa.naahid kutoa ushirikiano jf.naomba mnipokee
0 Reactions
8 Replies
979 Views
Natamani niwe j.f senior expert lakini duh? Sijui nianzie wapi na ugeni wangu
0 Reactions
8 Replies
960 Views
Wapendwa wana jf awali ya yote nawashukuru sana kwa michango na mawazo yenu bora yaliyonivuta kujiunga nanyi. Naomba mnipokee ili nami niweze kushiriki nanyi ktk ujenzi wa taifa letu. Wenu kautipe
0 Reactions
7 Replies
900 Views
Wanajamii, mie mgeni nipokeeni
0 Reactions
9 Replies
869 Views
Nipokeeni Jamani
0 Reactions
7 Replies
800 Views
Hello JF members, salaam alaykum,BWANA Yesu asifiwe, finally I'm happy baada ya Kustruggle for a long time nimejoin leo hapa Jamvini. Nikiwa Outsider nimekuwa nikiwapata vizuri. I love U all...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Najiunga hapa kwa kwa ajili ya kupata mambo mbalimbali na kujifunza pia pamoja na kubadilishana mawazo kuhusu ujenzi wa Taifa nimekuwa natembelea sana humu ndani na kusoma michango ya watu hivyo...
0 Reactions
7 Replies
824 Views
hatimaye nimefanikiwa kupost topic kwa mara ya kwanza hapa
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Baada ya kuchukua muda kuifahamu jf na kuvutiwa na yale yanayojiri katika jamvi hili naomba mnikaribishe rasmi,,, naahidi kuwa mchangiaji na mtoa mada mzuri sana katika forum hii,,,,,, Na Mungu...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
mi mgeni
1 Reactions
3 Replies
937 Views
Habari zenu wana JF, Ninayo furaha kubwa kujumuika humu ndani. please give me a welcome hand!
0 Reactions
3 Replies
1K Views
hodi jamvini........
0 Reactions
7 Replies
990 Views
Mimi naitwa mkulimamwema nimewaleteeni magimbi,matango na mihogo maana mna kasumba ya kutokuja kutusalimia kijijini na nimekuja mnipe hela nikanunue dawa ya wadudu wanaoharibu mazao maana mwaka...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Ndugu zanguni wakuu, nami mtanzania mwenzenu nimejiunga natumai nitadfaidika na kufaidisha hivyo naomba mnikaribishe.
0 Reactions
9 Replies
905 Views
Habari zenu wana jamvi? naomba kukaribia nipate pumziko la kifikra maaana huko nilipo toka ni majungu, fitna, unafki, uzandiki...... du na kila kitu! Naamini hapa nitabwaga moyo, au nimekosea...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Back
Top Bottom