Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
nimekuwa msomaji wa muda mrefu na leo kwa moyo wangu nimeamu kujitosa jamvini nikae na wenye hekima nami niwe na hekima kwani ndivyo ilivyo
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Finaly i made it happened!!ni new member officialy though i have been using JF as a guest for a year now..i hopefully expect a warm welcome from 'wakongwe'...those with similar ideology as mine...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Wandugu, salam! Nimekuwa nikichungulia kwa muda mrefu sasa nimeamua kuingia kabisa. Naamini nitapokelewa. Mbarikiwe!
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Hellow...........................
0 Reactions
7 Replies
998 Views
mimi mgeni humu
0 Reactions
7 Replies
966 Views
Hodi hii wana jp ninaomba naminiwemo katika msafara huu wa jp.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wana-JF ninayo furaha ya kujiunga nanyi katika viwanja vya JF. Mimi ni MPIGA ZEZE yule wa Mwalimu na mwanafalsafa E. Kezilahabi. Niwamegee kidogo anavyojitambulisha: "Nitaimba wimbo gani tofauti...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
wakuu nimejiunga siku nyingi lakini wasaa wa kubisha hodi umefika naomba mnipokeee
0 Reactions
20 Replies
2K Views
I wana say 2 all ma people
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wapendwa wana Jf, mi ni mgeni, sharo hiphop ndo ma name, nikiwa na mana ya kuwa na x-tics zote za usharobaro na kihiphop, nina mapenzi mema na wenye mpnz mema na mimi, thnx alot, b blcd.
0 Reactions
11 Replies
1K Views
jamani leo mwenzenu nilikuwa nasheherekea besidei ya kuazimisha miaka miwili ya kuwa mwanachama wa jamii forums tangu mei 14 2009, napenda kukiri kuwa nimeelimika sana katika kipindi hiki na...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
wenyewe mpoo, Helo pipoo... first of all congs sana kwa michango yenu humu jamvini inayosaidia jamiii.. nami nimeamua kujiunga leo... naamini mtanikaribisha kwa bashasha, nderemo na...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Na mimi nimejiunga na hii forum, nikaribisheni tafadhali
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Nawasalimu kwa jina la bwana na mungu anisaidie kuongea ukweli katika kuchangia mada ndani ya jf
0 Reactions
25 Replies
2K Views
Hodi hodi hapa jamvini,ndugu yenu mgeni hapa,naomba kuingia ndani,kumbukeni kuku mgeni hakoso kamba mguuni,hivyo nikikosea naomba kuelekezwa!
0 Reactions
17 Replies
1K Views
nawasalimia wote
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Hodi hodi uwanjani jamaniiiiii!
0 Reactions
0 Replies
600 Views
hodi tena wana jf nimependezwa na hli jamvi hivyo nami nimeona nijumuike nanyi
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Hodi hodi jukwaani..
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nabisha hodi mlangoni wakuu, naomba kukaribishwa jamvini wajameni...
0 Reactions
5 Replies
850 Views
Back
Top Bottom