Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
napenda kuwapongeza wana jamii kwa juhudi zenu.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
jamani hodi wanajamvi na mimi nimejiunga niweze kufaidi ya humu nimechoka kusoma tu maoni ya watu baada ya kutafakari na mimi nisiwe nyuma tuchangie mawazo tuendeleze mbele gurudumu la maendeleo...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Hodi! hodi! hodi mpaka ndani, Wenyeji mpoooooooo! Hi my learned friends, I'm very glad to join the forum, what i request from you is constructive ideas toward our country development and...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Ninafarijika sana kila mara ninapoutembelea ukurasa huu na kusoma yale yanayochangwa kutoka kwa wanafalsafa wanaofikiria kwa kina na wanao ona mbali. nimeungana nanyi kutoa hoja na kuchangia
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Hi JamiiForums members natumai mko fit, mimi mwenzenu ndiyo naingia hivyo jamvini.
0 Reactions
11 Replies
1K Views
hodini wenyeji.. Mi mgeni wenu,nawapa hi
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Wakuu heshima kwenu kijana wenu nilikuwepo ila nimeamua kujitambulisha tena
0 Reactions
4 Replies
924 Views
Im very happy 2 be one among members of jamii forums.. I like all members
1 Reactions
19 Replies
2K Views
salaam MA BIBI na MA BWANA, nachukua fulsa hii kujitambulisha kwenu. Ahsanteni
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Nimeona ni mhimu kuungana nanyi ili tuweze kulisukuma gurumu la JF ambalo linaonyesha mafanikio makubwa sana ktk jamii yetu ya Tanzania ktk kuishauri na kuipongeza serikali pale inapofanya vizuri...
0 Reactions
4 Replies
794 Views
nimejiunga hapa kujifunza mambo mengi wasee wangu,kuna mijamaa hapa moshi wamasema eti nyie ni watu wenye kipaji cha kufikiria sana,asanteni sana
0 Reactions
30 Replies
3K Views
natumaini kupokelewa kwa mikono miwili
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Kila mtu ana haki yake kwahiyo naomba tusidhulumiane. Jee wewe unasemaje?
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wakuu, mie mgeni hapa nahitaji miongozo yenu na ushirikiano wenu.. Mbarikiwe sana.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
naomba kuungana nanyi kwenye huu mchakato wa kuelimishana, nimependezwa na michango mbalimbali ya wana JF nami nimevutiwa kushiriki mijadala mbalimbali inayoibuliwa na GT asante!
0 Reactions
4 Replies
756 Views
New Big Black African Rock in da Jamii Forum needs ur support. U're All Great and such Wounderful People. Halla!
0 Reactions
4 Replies
1K Views
sina mengi ya kuongea ila naomba mapokezi mema kwa members wote
0 Reactions
3 Replies
982 Views
Hello wana JF Nimechoka kukaa Bohari Kuu Ya Madawa pale keko, naomba mnikaribishe kama mlivyowakaribisha Tablets wenzangu ili na mimi niwe mwana JF, naahidi tutashirikiana bega kwa bega katika...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Mimi ni member mpya wan jf naomba mnipokee
0 Reactions
5 Replies
940 Views
Chechei humu ndani,asalamu aleykum guys
0 Reactions
10 Replies
929 Views
Back
Top Bottom