jamani naombeni mnikaribishe humu jf, home of great thinkers, na kama walionipa jina nikiwa shule na kuniita critical thinker, nataka nijiangalie je mie ni critical kweli? Mgeni ni sawa na kipofu...
wana jamii,naomba kutimiza wajibu wa kujitambulisha ndani ya chati hii, long time nimekuwa naifatilia but iko soo interesting, nimejiunga hatimaye, tupo pamoja!
Hi all, am new on Jamii Forum although nilipitiliza na kuji introduce kwenye Hoja mchanganyiko sorry about but am back to the right place baada ya ushauri wa Husninyo. Please naomba ushirikiano...
Habari zenu wana JF, mimi ni mgeni humu ndani. Nasikitika niliingia bila kubisha hodi pengine kwa sababu ya Giza hivyo sikuweza kuuona mlango uliko, nikaamua kupitia dirishani kwa kuwa madirisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.