Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
mgeni amefika alipokuwa anaelekea.salam kwenu wahenga
0 Reactions
9 Replies
1K Views
anyone home?
0 Reactions
5 Replies
960 Views
nimekuja ndugu zangu kuungana nanyi hapa jamvini.... nipokeeni kwa mikono miwili mtu wa Mungu amekuja
0 Reactions
26 Replies
2K Views
please nifungulieni mlango nimebisha hodi,,,,ni me kuja kikamilifu,,,,Thanx a lott u guys
0 Reactions
11 Replies
2K Views
I salute you all. Naomba kukaribishwa jamvini.
0 Reactions
6 Replies
820 Views
Habari zenu wote kwa ujumla. Nawasalimu kwa jina la bwana. Mie mgeni hapa naomba mnipokee na kunielekeza pale nitakapokosea. Nimekuwa nikisoma tu kama mgeni ila nimeamua rasmi kujiunga...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
ndo kwanza nimejoin kama member ingawa nimekua kama guest viewer kwa muda mrefu,,naomba kuwakilisha,,
0 Reactions
16 Replies
1K Views
greetings great thinkers... Am officially in.. Pamoja sana. peace, love & blessings,,
0 Reactions
7 Replies
973 Views
Nimevutiwa na JF kwa namna inavyoleta changamoto pamoja na ushirikiano wa members katika kulitatua tatizo mara linapotokea katika jamii.Huo ndiyo uzalendo. Ahsanteni
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Hi JF members, Jamani naomba kutambulika kama mshiriki mpya wa JF, nitatoa ushirikiano nami pia nategemea kupata ushirikiano wenu.
0 Reactions
8 Replies
979 Views
mimi ni mtu mzuma mwenzenu nipokeeni kwenye jukwaa la madavidavi na majambozi nimepatataabu kujiunga na leo nimefanikiwa nipeni raha ,wana sema chokochoko mchokoe pweza na wnasema KAMA MVUVI VUA...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Nianze kwa kubisha hodi. Asanteni.
0 Reactions
6 Replies
734 Views
Nawasalimu ndugu zangu popote pale mlipo ndani na nje ya nchi. Nimekuwa mfuatiliaji wa yale yanayojiri ndani ya JF nimeona nami nijiunge nanyi ili kwa pamoja tujadili mambo mbalimbali juu ya...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
nimekaribishwa na hii msg mlangoni Hello njiwa It appears that you have not posted on our forums in several weeks, why not take a few moments to ask a question, help provide a solution or just...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Habari wana JF... Nimekuwa nikichungulia mlangoni kwa muda sasa; na nimevutiwa kuingia ndani. Nawashukuruni kwa kunikaribisha..
0 Reactions
4 Replies
970 Views
Hodi hodi wanajamii! Nakaribishwa humu bila shaka. Asanteni!
0 Reactions
9 Replies
1K Views
kwa mara ya kwnz najitokeza kwenu naomba ushirikiano wenu.
0 Reactions
5 Replies
827 Views
najitambulisha kwenu mm winstone napenda 2shirikiane kimawazo kuhusu mambo mbalimbali
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Baada ya kuwa kando nami nimeamua kujumuika nanyi katika mkao huu, naomba mnipokee kwa mikono miwili, nitakapokosa nirekebisheni. Nawasilisha
0 Reactions
21 Replies
2K Views
badaa ya kuchangia kwa muda naomba kujiunga rasmi mnipokee ndugu zangu asanteni
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Back
Top Bottom