Mambo!
Mimi i mwanachama mpyaaaaaaaaa katika kndi tafadhali nikaribisheni ili nami niweze chagia na kuibua changamoto mpya na kujenga jamii yetu. Wazeyaaaa yaliyomo yamo?
Hamjambo wana JF? Hii forum inaelimisha mambo mengi, kweli ni Home of great thinkers, tudumishe hili kwa kuandika katika lugha safi,ili tuendelee kujifunza na kuburudika pia.Ahsanteni wenzangu...
Hodi hodi ,naingia ndani
Jina langu, ni siri yangu
Mdanganyika2009, ndivyo nimeitwa
Hodi hodi naingia ndani.
Hodi hodi, naingia ndani
Kaka dada, baba mama
Nawasihi mnipokee, mdanganyika2009...
aah! ooh! naam! ni pumzi iliyo tumaini na isiyoshakani! naamini kile ambacho uliathamini na baadaye kikatumika na baadaye ukafika kwa walioamini' si mie mwenye fimbo na wala sikuchapa mie lakini...
Dear Jamii,
How are you? I am Emanuel Feruzi. I am a Free Software Consultant for FreeCode International. Also I am the founder and still an active member of the tzLUG. I am here to learn and to...
habari zenu wana JF,
sijui ni ushamba...nimeshtukia hii site tu...nilikuwa natafuta site nyingine kabisa...laiti ningalijua mwanzoni.Niko Toronto Canada..ni katika wale waliochoka siasa za...
Nimejiunga rasmi hapa kijiweni(jf)leo hii,inasemekana hapa is a place where any one can dare to speak open;OK ,naomba kuwa uliza enyi wakongwe wa kijiwe-kwanini hapa kijiweni 99.9% yenu...
Habari wanajf. I'm a newmember & i would love your support. I have written a threas on the jukwa la siasa forum & the thread is called Tanzania & the East African community. Please read it &...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.