Hi All,
Nafurahia kujiunga Dimbani mwenu ikiwa mtanikubali!:)
I am still trying to get my way around and hopefully when I do, we'll get to know each other more.
Nitashukuru mkinikaribisha..
Haya wale walevi wenzangu, na wasio walevi wa kilaji (najua ulevi wao upo wapi). Mie ndo nimeingia nikiwa chicha haswa. nayumba nashangaa nyumba haina kaunta hii.
Weita pls lete moja bariiiidi...
hodi.. hodi nyumba hii.... mimi ni mgeni eneo hili naomba mnikaribishe kwani mimi ni ndege mtulivu nisiye na matata nimeruka toka MOA, MANZA BAY NIKAFIKA TANGA MJINI , NIKARUKA MPKA HUKU...
waungwana najitambulisha na kuchukua nafasi hii kujiunga nanyi, nataraji kuelimika na kuelimisha kwa yale tutakayochangiana.........
asanteni sana kwa post moto moto
Wakubwa shikamooni!! wadogo marahaba hamjambo!! na wale wenzangu habarini za masiku.
Napenda kujitambulisha kwenu katika blog hii. Nawashukuru kwa michango yenu ambayo mingi ni ya kuielimisha jamii.
Matumaini yangu wote mpo katika afya njema. Nafurahi kujiunga na JF na nadhani kuna faida ya kuelimika ingawa sipati wakati wa kutosha kutembelea JF kwa sababu ya kuwa bize sana, lakini nitajaribu...
Asalaam aleikhum kwa mpigo.
Naomba mnikaribishe na majina ya mahoteli au mikahawa ipatikanapo supu ya pweza au pweza wa kuchoma hapa dar es salaam, hasa wilaya ya kinondoni.
Ahsanteni sana...
Mimi ni mwanachama mpya kwenye uwanja wetu huu wa mawazo ya kulijenga taifa letu tunaloliita changa, japokuwa sina uhakika kama bado ni changa, ila ninaamini kuwa hapa tutalikomaza kama litakuwa...
Naitwa wasunuka,nimekuwa nikifuatilia sana jamii forums kwa muda mrefu sasa na nimeamua kujiunga ili tuwe na nguvu kubwa ya kuleta maendeleo katika nchi yetu na africa kwa ujumla,Napenda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.