Habari zenu wadau wa JF.
Nakuja mbele zenu kama mwanachama mpya kabisa katika platform hii nzuri kabisa. Naomba mnipokee na kunipitisha katika corridor zenu za hapa nyumbani JF.
Sent using...
Hivi inachukua muda gani moderator kuapprove account yako? Ahsanteni kwa kujumuika nanyi kwenye jamvi hili la maarifa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni member humu zaidi ya miaka 3 lkn nilikuwa msomaji tu pasipo kuchangia lolote nmeamua nami nijiunge na jamii hii huru ili nami niweze kuchangia kile nilichonacho.
Asante sana
Sent using Jamii...
Habari zenu wakuu ,Natumaini wote ni wazima ...
Nafarijika kuingia katika forum hii, Tuendelee kupeana support kupitia mada mbali mbali zinazotupa elimu,burudani na faida mbali mbali
One love
Mimi niwashukuru JF wote kwa kunikubali
Kujiunga na jamii hii yenye uwelewa mpana najua wazi ni mengi nitajifunza
Hivyo naomba niwashukuru mno
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari wanaJF,
Mimi nilikuwa msomaji muda mrefu lakini sikuwa nimejiunga lakini sasa nimeamua kujiunga naomba mnikaribishe
Sent using Jamii Forums mobile app
MwanaJF mpya. Naombeni ukaribisho wenu kwa moyo mkunjufu. Naamini tutafundishana, kuelimishana, kuburudishana na kuonyana kwani JF ni kisima cha maarifa. Heshima kwenu.
Sent using Jamii Forums...
Daah nipo kitambo JF ila sijawahi kujitambulisha,,
Tena uku ndo sipitagi kabisa leo imetokea tu ,, nikaliona jukwaa la utambulisho .
Si vibaya naomba ushirikiano uendelee!
Maana mshanipokea tyr...
Ni Mgeni humu lakin pia ni fundi mtaalam wa Urembo wa Nyumba na Rangi ....Nipo Dar es salaam ila popote nakufikia kwa ajili ya kubadilisha muonekano wa nyumba yako....Make sure unachukua namba hii...