Naitwa Mo shyner ni artist ambaye ninarap na kuimba, Niko JF toka 2015 nikiwa member... lakin kama mtumiaji mgeni, kwasasa nadhani kidogo niko tayari kuomba ridhaa yenu nikaribishwe jamvini...
kwa muda mrefu nmekuwa nikifuatilia threads mbalimbali JF katoka majukwaa mbalmbali na leo nmeona nami nijiunge rasmi nisiwe tu nachungulia na kusoma pasipo uwezo wa kuchangia.
nashukuru kwa wale...
Habari za hapa ndani wakuu, Binafsi nilikuwa mtumiaji wa Jf nje ya pazia kwa muda,lakini nimeona vyema niingie ndani nikae kabisaa,Need your cooperation please.
Za leo wakubwa kwa wadogo mimi lydia james leo nimejiunga na mtandao huu kwa lengo la kukuza ufahamu katika mambo mbalimbali naomba mnipokee kama mgeni wenu tushirikiane
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.