Hello JF.
Naitwa Elisia ni new member hapa, nashugulika na maswala ya MC(Master of Ceremonies), mwenye event yoyote iwe harusi, send off, bridal shower, bachelorette parties, semina kindly PM, am...
Hello members, Good evening!
Nimekuja hapa nikiwa na furaha tele. Kwa muda sana nimekuwa mfuatiliaji katika jukwaa hili tangu 2016... Kutokana na michango mbali mbali ya jukwaa hili nimeonelea...
Nimekuwa mfuatiliaji wa mijadala ya hapa Jf kwa takribani mwaka mzima bila kuwa member. Ila leo nimeona nami nijumuike pamoja nanyi ili kubadilishana mawazo ya hapa na pale.
Asanteni sana.
Natarajia baada ya muda mfupi wa kuzoea JF na mimi kuwa "mjuaji juaji"
Nimechagua kujikita katika majukwaa ya SIASA, HABARI NA HOJA MCHANGANYIKO, LILE JUKWAA LA WAKUBWA, NA JF GARAGE.
Habarini za majukumu.
Mimi ni mgeni humu JF naomba ushirikiano wenu na nliomba kuuliza swali kidogo kuhusu JF. Je, JF ni mahala sahihi pa kujadili mambo ya kijamii bila woga maana nliwahi sikia...
Habari zenu mi mgeni humu, ninafuraha kujiunga nanyi wapendwa, kwa muda mrefu nilikuwa nasoma tu habari za humu, sasa ninafurahi kuwa pamoja ndani ya ulingo.
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.