Mambo vipi masela na wazee wa kale? Mimi sio mgeni humu ndani. Nimekuwa nafuatiliaga sana nyuzi za watu mbalimbali, leo nimekuja kuwapa chagamoto na elimu juu ya mambo balibali ya maisha.
Kifupi...
Hello guys,
I am a Black American working in developing countries in West Africa. I registered simply because of the link below and after registering i found i no longer had access. Please what...
hii itakuwa ID ya 6 baada ya 5 zote kupigwa ban,
ID zote nilizopigwa ban kosa ilikua moja tu,MATUSI AU KUTUKANA
##kiukwel huwa siwez kuvumilia mtu anipe shit au anitukane af nimwache aendelee...
Hodihodi wana jamiiforums. Nimekuwa msomaji mzuri wa hapa kwa takribani kama miaka miwili nwishoo nimeamua kuwa mwanachama na mimi. Mnikaribishe kama hamtojari
Habari.
Mimi ni moja ya memberz wapya katika familia ya jamii forum,ninafuraha kujiunga na jamii forum kwani ilikuwa ni moja ya ndoto zangu kujiunga na kushare idea,siku zote nilikuwa...
Habari zenu mimi ni mgeni humu JF nitafurahi kama mgenijuza, kanuni ama sheria za tovuti hii kuuliza sio ujinga. Naomba maelekezo tafadhali hata ukinitajia sheria moja tu itafaa, nitashukuru.
Habari zenu mandugu.
Mnamo tar 4 December, nimeamua namimi kujiunga nanyi magreat thinkers, nijionee namna great thinkers wanavyojadili mada zao kiundani zaidi.
Tujumuike pamoja na mnikaribishe...
Baada ya mda mrefu kuperuzi JF kama mgeni nimeamua kuingia rasmi ndani baada ya kuona kuna mengi inawezekana nayakosa.
Naomba mnipokee na kunishauri tahadhari za kuchukua nikiwa humu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.