Nina furaha kwanza kabisa kuungana na wanaJF , katika kujua na kupashana taifa mbalimbali .
We live by assisting others near us .
And.
Poor preparation prepare poor performance.
Thanks na...
Nimekuwa muumini wa JF tangu mwaka 2014 . Nilikuwa nikikongwa moyo na mada za mshana jr, Kiranga , The bold, Da vinc , jonh the Baptist na ma" thinkers" wengine. Nimekuwa nikitanua mbavu zangu na...