Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
HELLO GUYS !
1 Reactions
3 Replies
750 Views
Habari zenu wanaJF, naombeni mnipokee.
0 Reactions
10 Replies
939 Views
Hodi humu ndani ,natumai nitajifunza mengi ,Nitawafunza mengi.......Sasa hivi Siyo kuhadithiwa yanayotukia humu ni mwendo wa mubashara . I love you All ...I expect warm welcome...If yours Is Cold...
1 Reactions
33 Replies
2K Views
Natumai Nyote ni wazima wa afya na aliekuwa si mzima basi Mungu atamponesha. Kama Username ilivyo, ni Tour operator ambayo ipo visiwani Zanzibar. Tunapenda kuwakaribisha wale ambao wangependa...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Wazee wenzangu mpooo ?? Mr. Rocky miss chagga
0 Reactions
1 Replies
750 Views
Nmefrah kuwa member wa jf
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nina app ya jamii forum na nilishawai kujisajili tena vizur san lakn kutka na sim yangu kuibiwa nikanunua sim nyinge kwhio nakainstal tena upya app ya jamii forum lkn kuna tatzo linanitkea kila...
0 Reactions
3 Replies
924 Views
Habarini wadau, Naonekana leo baada ya BAN la kufa mtu yaani kutoka 5.7.2019 hadi 31.7.2019 Nliwamiss nikaribisheni tena Wadau.
3 Reactions
24 Replies
2K Views
Habari ndugu na jamaa wa jamii forums mimi mwanachama mpya naomba kukalibishwa Shughuli zangu ni fundi umeme wa majumbani na viwandani Na tunafika popote kama hutatuhitaji hasa kanda ya ziwa kwa...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Leo nimefurahi kupata "approval" ya kuwa member wa Jamiiforums. Mnipokee kwa mikono miwili kabisa mwanachama mpya. Hope tutakutana katika majukwaa mbalimbali ya jamvi hili.
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Humu jf naomb mnpokee
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Mayai mbili Ndani Ya nyumba nawakilisha Wanaume wa mikoani nasikia humu ni Daslamu.....Naombeni A-Z za humu Darisalama ....
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Hatimae nine be approved jf member
0 Reactions
9 Replies
874 Views
habari za wakti huu wapendwa.... kiufupi nimekuwa guest visitor wa jamii forums kwa kitambo kirefu tangu nimeijua sep.2017...kiukweli ni sehemu murua ambayo imenijuza mengi sana ambayo ni adimu...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Habari zenu jamn mm ni mgeni nipokeeni.nimekua mfuatiliaji wa jf since Niko secondary so hatimae nimefanikiwa kujiunga
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Nianze kwa kutoa pole kwa jeshi la polisi Tanzania na familia nzima ya wafiwa juu ya msiba,uliosababishwa na ajari ya gari, Mungu Baba awapumzishe mahari pema
0 Reactions
4 Replies
768 Views
Hellow
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Natumai nyote wazima,mimi ni mgeni hapa! Say welcome Men, ahsante
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Mnipokee ndo kwanza naingia humu sijui vitu vingi sana; kwa ufupi sija soma sana
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom