Mimi in mwanachama mpya katika jukwaa hili.Nimependa na nimefurahi kukutanishwa nanyi katika jukwaa hili.Nataraji mtajifunza/nitajifunza mengi kutoka kwangu/kwenu
Salama
Mi ni member mpya kabisa, nimeamua kujiunga jamii forums baada ya kuwa msomaji wa muda mrefu.
Nimekuwa fwatiliaji wa nyuzi mbalimbali hapa JF hususani jukwaa la intelijensia pamoja na la...
Kama kichwa kinavosema hapo juu, mimi ni kijana wa miaka 26 mjasiriamali wa shughuli ndogo ndogo, ninaishi kwenye chumba kimoja (ghetto) ambacho hakina runinga, kutokana na uhaba wa kuangalia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.