Nimekuwa mfatiliaji wa JF kwa muda,lakini sasa nimeamua kuingia ndani ya ngoma kucheza na sio kuwa mtazamaji wala mshabiki wa JF.Ombi langu kwenu kama kama jogoo la shamba liliongia mjini;kwa...
The Peak Magazine, ni jarida linalolenga kuihamasisha jamii, kwa hoja mbalimbali zitakazokuza fikra katika nyanja mbalimbali.
Tukiwa wapya kwenye tasnia hii, tunaamini katika kuibua vipaji vipya...
Wakuu Nimeona Ni Vema Nami Niingie Humu Nijichotee Maarifa Mbalimbali Kutoka Kwenu Maana Jf Ni Kisima Cha Maarifa Mbali Mbali. Naomba Mnipokee, Asanteni.
Habarini wana jf m Ni mgeni humu ndani
naombeni mnikaribishe[emoji4]
Ni ke
Kabila mnyamwezi
Naishi dar
Education level- diploma
Umri 20+
Napenda sana marafiki haswaa wa kiume maana wakike umbea...
Walasalamu ndg. zangu
Mimi mgeni wenu jamani, ndo kwanza nimejiunga na Jamiiforums leo
Nimepata habari za huu mtandao kutoka kwa rafiki yangu, ameniambia kuwa hapa naweza pata ushauri, ujuzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.