Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Mimi ni mgeni humu
2 Reactions
16 Replies
1K Views
Hello friends, My name is Anna Maria Buberwa, aged 24 years old. I am from Bukoba, though now am living in Dar es Salaam Oyster bay. Thanks. -------------- Karibu sana JF mkuu Anna Maria...
24 Reactions
524 Replies
70K Views
Hodi wenyeji. mimi mgeni mwenye nyumba ila sina ujanja nyumbani.
0 Reactions
15 Replies
1K Views
mi kupata demu kupitia ako ka jina kangu mmenioiga ban .kudadadek
0 Reactions
4 Replies
733 Views
Naitwa Mjuzi wa Juzi, ni mwana jf mpya kabisa kwa miaka kadhaa nimwkuwa msomaji tu tu lakini leo nimeamua kujiunga. Asanteni sana
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Hello, habarini wanna jamii Forum alhamdulillah Leo nimepata kuwepo humu ndani maana tangu mwaka 2016 kila nikijiregister ilikuwa inafell, so 2we Pamoja members Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
27 Replies
2K Views
its me agaaain, king of the kings! jungle master! a.k.a the ICON, ni comrade kipepe once again! Ohhooo ebannaaee comrade nimekuja kuwashukuru members wote kwa kunikaribisha jf, mmekua watu...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Ase Mimi nimeona nijiunge huku sasa wenyeji nikaribisheni .. Mimi mgeni kabisa na kamba mguunii naitwa kipepeee
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Habari zenu..?Mi ni mgeni naombeni ukaribisho wenu.
2 Reactions
46 Replies
3K Views
Habarini waungwana, Napenda kuwashukuru walionifungia tangu 2017 na kufunguliwa 2018 February kisha kufungiwa hadi leo kuweza kuandika chochote hapa jukwaani. Kiukweli nilishi km nipo nyikani...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Mpo
0 Reactions
2 Replies
544 Views
Habari za jumapili wanaJF.... Mimi ni memba mpya nimejiunga humu rasmi baada ya kuwa guest visitor kwa muda mrefu. Naomba ushirikiano wenu kwa mawazo na ushauri pia. Natanguliza shukrani...
4 Reactions
43 Replies
3K Views
Hi, i need your cooperation guys, i'm a new member.
3 Reactions
65 Replies
6K Views
Habar wanajf me n member mpy mko guda
0 Reactions
2 Replies
795 Views
Wandugu wanajamvi km mada hapo juu nimekua mdau wa jf kwa mda mrefu Ila bahati ya kusajiliwa ndio naipata leo nafuraha ya kuwa mwana familia wa jf
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari za huku jamvini. Ugeni wangu humu unaweza kuwa wa muhimu? [emoji4]
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Hey guyz me mgeni ila mwenyeji[emoji1422]
2 Reactions
19 Replies
1K Views
Kama kichwa kinavyo jieleza Mimi no member mpya kabisa hivyo nahitaji mapokezi Kama ilivyo ada kwa wageni Loading........ Kwa ushauri Maoni Tahadhari nk nk Mnikaribishe jamvini Nawasilisha...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Back
Top Bottom