HODI !!! HODI !!! MKURU WA KAYA !!!
By means of introduction;
kwa majina yangu aitwa Tatanyarusa Reruya nina furaya sana kufwanya mambo za pamoja ktk hii social media ya...
Wasalaam wakuu wote...
Ndugu yenu/mdogo wenu Artificial Horizon nimejiunga rasmi na jukwaa hili pendwa kama 'member' nitaanza kutoa mawazo yangu juu ya mada mbalimbali jukwaani.
Nimeifahamu JF...
Ni muda mrefu nilikuwa nikipitia threads za humu JF na nilitamani kuwa Member one day maana niliambiwa ukiwa humu huwezi juta maana kuna wadau wanalala kabisa humu..
Binafsi nashukuru sana kuwepo...
:):):)
mfia dini sent me to tell you that he is thankful to Jf again
bcause he is promoted
from senior member into expert
he says"mpaka ijulikane Mungu wa kweli ni Yupi"[emoji123]
Namshukuru Mungu, mimi ni mgeni humu, nilijiunga jana baada ya kushawishiwa na ndg zangu wa karibu.
Naomba ushirikiano wenu ili tuijenge Tanzania Mama.
Ahsante.
Kwinogho
Naitwa Jose Nipo Daslam nafurahia kujiunga humu
Kwani niliufahamu tangia mtandao huu
Hivyo sasa nimeamua kuomba kujiunga na JF, Nashukuru kujumuika na nyinyi wapendwa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.